7 Ndipo waganga, walozi, Wakaldayo na wanajimu wakaletwa. Nikawasimulia ndoto yangu, lakini hawakuweza kunieleza maana yake.
Kusoma sura kamili Danieli 4
Mtazamo Danieli 4:7 katika mazingira