Danieli 4:8 BHN

8 Baadaye, akaja Danieli, anayeitwa pia Belteshaza, jina la mungu wangu, ambaye roho ya miungu mitakatifu imo ndani yake. Nami nikamsimulia ndoto yangu, nikasema:

Kusoma sura kamili Danieli 4

Mtazamo Danieli 4:8 katika mazingira