Danieli 4:9 BHN

9 Ee Belteshaza, uliye mkuu wa waganga, nafahamu kuwa roho ya miungu mitakatifu imo ndani yako, na kwamba hakuna fumbo lililo gumu kwako. Hii ndiyo ndoto yangu; niambie maana yake.

Kusoma sura kamili Danieli 4

Mtazamo Danieli 4:9 katika mazingira