Danieli 5:3 BHN

3 Basi, vile vyombo vya dhahabu na fedha vilivyochukuliwa hekaluni Yerusalemu vikaletwa. Mfalme, maofisa wake, wake zake na masuria wake wakavitumia kunywea.

Kusoma sura kamili Danieli 5

Mtazamo Danieli 5:3 katika mazingira