Danieli 6:14 BHN

14 Mfalme aliposikia maneno hayo, alisikitika sana. Akajitahidi sana kupata njia ya kumwokoa Danieli. Aliendelea kujaribu mpaka jua likatua.

Kusoma sura kamili Danieli 6

Mtazamo Danieli 6:14 katika mazingira