Danieli 6:17 BHN

17 Jiwe likaletwa na kuwekwa mlangoni mwa lile pango. Mfalme akalipiga mhuri wake binafsi na ule wa wakuu wake, ili uamuzi kuhusu Danieli usibatilishwe.

Kusoma sura kamili Danieli 6

Mtazamo Danieli 6:17 katika mazingira