24 Zile pembe kumi ni wafalme kumi watakaotokana na ufalme huo. Halafu watafuatwa na mfalme mwingine ambaye atakuwa tofauti na wale waliomtangulia, na atawaangusha wafalme watatu.
Kusoma sura kamili Danieli 7
Mtazamo Danieli 7:24 katika mazingira