25 Huyo atamkufuru Mungu Mkuu na kuwatesa watakatifu wake. Atajaribu kubadilisha nyakati na sheria zao, na watakatifu watatiwa mikononi mwake kwa muda wa miaka mitatu na nusu.
Kusoma sura kamili Danieli 7
Mtazamo Danieli 7:25 katika mazingira