Danieli 9:17 BHN

17 Kwa hiyo, ee Mungu, isikilize sala yangu na maombi yangu mimi mtumishi wako. Kwa hisani yako, uifadhili tena maskani yako iliyoharibiwa.

Kusoma sura kamili Danieli 9

Mtazamo Danieli 9:17 katika mazingira