Danieli 9:20 BHN

20 “Basi, nilipokuwa nikiomba, nikiungama dhambi zangu na dhambi za watu wangu wa Israeli, pamoja na kumsihi Mwenyezi-Mungu kwa ajili ya mlima wake mtakatifu,

Kusoma sura kamili Danieli 9

Mtazamo Danieli 9:20 katika mazingira