Danieli 9:24 BHN

24 “ ‘Muda wa miaka saba mara sabini umewekwa kwa ajili ya watu wako na juu ya mji wako mtakatifu ili kumaliza makosa, kukomesha dhambi, kusamehe uovu, kuleta haki ya milele, kutia mhuri maono na unabii na kupaka mafuta mahali patakatifu kabisa.

Kusoma sura kamili Danieli 9

Mtazamo Danieli 9:24 katika mazingira