Danieli 9:3 BHN

3 Nilimwomba Mwenyezi-Mungu, kwa moyo, nikimtolea dua pamoja na kufunga, nikavaa vazi la gunia na kuketi kwenye majivu.

Kusoma sura kamili Danieli 9

Mtazamo Danieli 9:3 katika mazingira