Hagai 2:1 BHN

1 Mnamo siku ya ishirini na moja, mwezi wa saba mwaka huohuo, neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia nabii Hagai.

Kusoma sura kamili Hagai 2

Mtazamo Hagai 2:1 katika mazingira