Hagai 2:13 BHN

13 Hagai akawauliza tena, “Je, mtu aliye najisi kwa kugusa maiti, akigusa baadhi ya vyakula hivi, chakula hicho kitakuwa najisi?” Makuhani wakamjibu, “Ndiyo, kitakuwa najisi.”

Kusoma sura kamili Hagai 2

Mtazamo Hagai 2:13 katika mazingira