Hagai 2:14 BHN

14 Hapo Hagai akawaambia, “Mwenyezi-Mungu asema kwamba, hivyo ndivyo ilivyo kwa watu wa taifa hili na kila kitu wanachofanya; kadhalika na kila wanachotoa madhabahuni ni najisi.

Kusoma sura kamili Hagai 2

Mtazamo Hagai 2:14 katika mazingira