Hagai 2:16 BHN

16 hali yenu ilikuwaje? Mliliendea fungu la nafaka mkitarajia kupata vipimo ishirini, lakini kulikuwa na vipimo kumi tu. Mliliendea pipa la divai mkitarajia kujaza vyombo hamsini, lakini mlikuta ishirini tu.

Kusoma sura kamili Hagai 2

Mtazamo Hagai 2:16 katika mazingira