Hagai 2:17 BHN

17 Niliwapiga kwa ukame, ukungu na mvua ya mawe, nikaharibu kila mlichojaribu kupanda, lakini hata hivyo hamkunirudia. Nasema mimi Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili Hagai 2

Mtazamo Hagai 2:17 katika mazingira