Malaki 1:11 BHN

11 Watu wa mataifa kote duniani, toka mawio ya jua hadi machweo yake, wanalitukuza jina langu. Kila mahali wananifukizia ubani na kunitolea tambiko zinazokubalika; maana jina langu linatukuzwa miongoni mwao.

Kusoma sura kamili Malaki 1

Mtazamo Malaki 1:11 katika mazingira