Malaki 1:10 BHN

10 Mwenyezi-Mungu wa majeshi asema, “Laiti angepatikana mtu mmoja miongoni mwenu ambaye angefunga milango ya hekalu ili msiwashe moto usiokubalika kwenye madhabahu yangu! Sipendezwi nanyi na sitaikubali tambiko yoyote mnayonitolea.

Kusoma sura kamili Malaki 1

Mtazamo Malaki 1:10 katika mazingira