Malaki 1:9 BHN

9 Kwa hiyo sasa enyi makuhani, mwombeni Mungu ili atuhurumie. Ikiwa mnamtolea matoleo ya aina hiyo, je, kweli atakuwa radhi nanyi?

Kusoma sura kamili Malaki 1

Mtazamo Malaki 1:9 katika mazingira