Malaki 1:14 BHN

14 Na alaaniwe mtu yeyote anidanganyaye, ambaye huahidi kwa kiapo kunitolea tambiko mnyama safi kutoka katika kundi lake, lakini hunitolea tambiko mnyama mwenye kilema. Tazama, mimi ni mfalme mkuu, na watu wa mataifa yote hunicha.”

Kusoma sura kamili Malaki 1

Mtazamo Malaki 1:14 katika mazingira