Malaki 3:1 BHN

1 Mwenyezi-Mungu wa majeshi asema, “Tazama, namtuma mjumbe wangu anitangulie kunitayarishia njia. Bwana mnayemtafuta atalijia hekalu lake ghafla. Mjumbe mnayemtazamia kwa hamu kubwa atakuja na kutangaza agano langu.”

Kusoma sura kamili Malaki 3

Mtazamo Malaki 3:1 katika mazingira