2 Lakini ni nani atakayestahimili siku hiyo atakapokuja? Ni nani atakayesimama kustahimili atakapotokea? Yeye ni kama moto mkali usafishao chuma; ni kama sabuni ya dobi.
Kusoma sura kamili Malaki 3
Mtazamo Malaki 3:2 katika mazingira