Malaki 3:18 BHN

18 Hapo ndipo mtakapotambua tena tofauti iliyopo kati ya waadilifu na waovu; naam, kati ya mtu anayemtumikia Mungu na asiyemtumikia.”

Kusoma sura kamili Malaki 3

Mtazamo Malaki 3:18 katika mazingira