Malaki 3:17 BHN

17 Iliandikwa hivi: Mwenyezi-Mungu asema: “Hao watakuwa watu wangu. Watakuwa urithi wangu maalumu siku ile nitakapoinuka kufanya ninalokusudia. Sitawadhuru kama vile baba asivyomdhuru mwanawe anayemtumikia.

Kusoma sura kamili Malaki 3

Mtazamo Malaki 3:17 katika mazingira