Maombolezo 2:11 BHN

11 Macho yangu yamevimba kwa kulia,roho yangu imechafuka.Moyo wangu una huzuni nyingikwa sababu ya kuangamizwa kwa watu wangukwa sababu watoto wachanga wanazirai katika barabara za mji.

Kusoma sura kamili Maombolezo 2

Mtazamo Maombolezo 2:11 katika mazingira