Maombolezo 2:9 BHN

9 Malango yake yameanguka chini,makomeo yake ameyaharibu na kuyavunjavunja.Mfalme na wakuu wake wako uhamishoni kati ya mataifa.Mwongozo wa sheria umetoweka kabisa,manabii wake hawapati tena maonokutoka kwake Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili Maombolezo 2

Mtazamo Maombolezo 2:9 katika mazingira