Maombolezo 4:15 BHN

15 Watu waliwapigia kelele wakisema:“Tokeni, nendeni zenu enyi mlio najisi!Tokeni, tokeni, msiguse chochote.”Hivyo wakawa wakimbizi na kutangatanga;watu wa mataifa walitamka:“Hawa hawatakaribishwa kukaa kwetu!”

Kusoma sura kamili Maombolezo 4

Mtazamo Maombolezo 4:15 katika mazingira