2 Watoto wa Siyoni waliosifika sana,waliothaminiwa kama dhahabu safi,jinsi gani sasa wamekuwa kama vyombo vya udongo,kazi ya mikono ya mfinyanzi!
Kusoma sura kamili Maombolezo 4
Mtazamo Maombolezo 4:2 katika mazingira