8 Sasa sura zao ni nyeusi kuliko makaa,wanapita barabarani bila kujulikana;ngozi yao imegandamana na mifupa yaoimekauka, imekuwa kama kuni.
Kusoma sura kamili Maombolezo 4
Mtazamo Maombolezo 4:8 katika mazingira