Mika 1:11 BHN

11 Nendeni enyi wakazi wa Shafiri,mkiwa uchi na wenye haya.Wakazi wa Zaanani msitoke nje ya mji wenu.Watu wa Beth-ezeli wanalia;msaada wao kwenu umeondolewa.

Kusoma sura kamili Mika 1

Mtazamo Mika 1:11 katika mazingira