16 Enyi watu wa Yuda, nyoeni uparakuwaombolezea watoto wenu wapenzi;panueni upara wenu uwe mpana kama wa tai,maana watoto wenu watawaacha kwenda uhamishoni.
Kusoma sura kamili Mika 1
Mtazamo Mika 1:16 katika mazingira