Mika 1:5 BHN

5 Haya yote yatatukiakwa sababu ya makosa ya wazawa wa Yakobo,kwa sababu ya dhambi za wazawa wa Israeli.Je, uhalifu wa Yakobo waonekana wapi?Katika mji wake mkuu Samaria!Je, uhalifu wa Yuda waonekana wapi?Katika Yerusalemu kwenyewe!

Kusoma sura kamili Mika 1

Mtazamo Mika 1:5 katika mazingira