Mika 2:13 BHN

13 Yule atakayetoboa njia atawatangulia,nao watalivunja lango la mji na kutoka nje,watapita na kutoka nje.Mfalme wao atawatangulia;Mwenyezi-Mungu mwenyewe atawatangulia.

Kusoma sura kamili Mika 2

Mtazamo Mika 2:13 katika mazingira