Mika 3:6 BHN

6 “Kwenu manabii kutakuwa usiku bila maono,kutakuwa giza kwenu bila ufunuo.Kwenu manabii kutakuchwa,mchana utakuwa giza kwenu.”

Kusoma sura kamili Mika 3

Mtazamo Mika 3:6 katika mazingira