Mika 3:9 BHN

9 Sikieni jambo hili enyi viongozi wa wazawa wa Yakobo,sikilizeni, enyi watawala wa Waisraeli:Nyinyi mnachukia mambo ya hakina kupotosha mambo ya adili.

Kusoma sura kamili Mika 3

Mtazamo Mika 3:9 katika mazingira