Mika 4:10 BHN

10 Enyi watu wa Siyoni,lieni na kugaagaa kama mama anayejifungua!Maana sasa mtaondoka katika mji huumwende kukaa nyikani,mtakwenda mpaka Babuloni.Lakini huko, mtaokolewa.Huko Mwenyezi-Mungu atawakomboa makuchani mwa adui zenu.

Kusoma sura kamili Mika 4

Mtazamo Mika 4:10 katika mazingira