Mika 4:5 BHN

5 Mataifa mengine hufuata njia zao,kwa kuitegemea miungu yao,lakini sisi twafuata njia zetu kwa kumtegemea Mwenyezi-Mungu,Mungu wetu, milele na milele.

Kusoma sura kamili Mika 4

Mtazamo Mika 4:5 katika mazingira