Mika 7:18 BHN

18 Ee Mungu, ni nani aliye kama wewe?Wewe wasamehe dhambi za watu wako waliobaki,wala huyaangalii makosa yao.Hasira yako haidumu milele,ila wapendelea zaidi kutuonesha fadhili zako.

Kusoma sura kamili Mika 7

Mtazamo Mika 7:18 katika mazingira