2 Hakuna mcha Mungu aliyebaki nchini,hakuna mtu yeyote mnyofu miongoni mwa watu.Kila mmoja anavizia kumwaga damu;kila mmoja anamwinda mwenzake amnase.
Kusoma sura kamili Mika 7
Mtazamo Mika 7:2 katika mazingira