16 Maana, kama walivyokunywa kikombe cha ghadhabu yangukwenye mlima wangu mtakatifundivyo na mataifa jirani yatakavyokunywa;watakunywa na kupepesuka,wataangamia kana kwamba hawakuwahi kuwapo duniani.
Kusoma sura kamili Obadia 1
Mtazamo Obadia 1:16 katika mazingira