Ruthu 1:15 BHN

15 Basi Naomi akamwambia, “Ruthu, tazama dada yako amerudi nyumbani kwake na kwa mungu wake; basi, nawe pia urudi, umfuate dada yako.”

Kusoma sura kamili Ruthu 1

Mtazamo Ruthu 1:15 katika mazingira