Ruthu 1:16 BHN

16 Lakini Ruthu akamjibu,“Usinisihi nikuache wewe,wala usinizuie kufuatana nawe.Kokote utakakokwenda ndiko nami nitakakokwenda,na ukaapo nitakaa,watu wako watakuwa watu wangu,na Mungu wako atakuwa Mungu wangu.

Kusoma sura kamili Ruthu 1

Mtazamo Ruthu 1:16 katika mazingira