Ruthu 2:1 BHN

1 Naomi alikuwa na ndugu aliyeitwa Boazi, wa ukoo wa Elimeleki mumewe. Huyo alikuwa mtu mashuhuri na tajiri.

Kusoma sura kamili Ruthu 2

Mtazamo Ruthu 2:1 katika mazingira