Ruthu 1:22 BHN

22 Hivyo ndivyo Naomi pamoja na Ruthu Mmoabu, mkwewe, walivyorejea kutoka Moabu, na kuwasili Bethlehemu wakati uvunaji wa shayiri ulipokuwa unaanza.

Kusoma sura kamili Ruthu 1

Mtazamo Ruthu 1:22 katika mazingira