Ruthu 3:16 BHN

16 Alipofika mjini, mkwewe akamwuliza, “Ilikuwaje binti yangu?” Ruthu akamweleza yote ambayo Boazi alimtendea.

Kusoma sura kamili Ruthu 3

Mtazamo Ruthu 3:16 katika mazingira