Ruthu 3:17 BHN

17 Halafu akaendelea kusema, “Aliniambia nisirudi nyumbani kwa mkwe wangu mikono mitupu na kwa hiyo alinipa shayiri hii ipatayo vipimo sita.”

Kusoma sura kamili Ruthu 3

Mtazamo Ruthu 3:17 katika mazingira