18 Naye Naomi akasema, “Sasa tulia binti yangu Ruthu, mpaka uone litakalotokea. Boazi hatatulia leo mpaka ameyatimiza yote.”
Kusoma sura kamili Ruthu 3
Mtazamo Ruthu 3:18 katika mazingira