Ruthu 4:10 BHN

10 Zaidi ya hayo, Ruthu Mmoabu mjane wa Mahloni, nimemnunua ili awe mke wangu. Mapatano haya yatafanya mali ya jamaa ya marehemu na ukoo wake kubakia kwa watu wake katika mji huu. Nyinyi ni mashahidi.”

Kusoma sura kamili Ruthu 4

Mtazamo Ruthu 4:10 katika mazingira