Ruthu 4:9 BHN

9 Ndipo Boazi akawaambia wazee na watu waliokuwa hapo, “Leo nyinyi ni mashahidi wangu. Mmeona kwamba nimenunua kutoka kwa Naomi, vyote vilivyokuwa vya Elimeleki, na vya Kilioni na Mahloni.

Kusoma sura kamili Ruthu 4

Mtazamo Ruthu 4:9 katika mazingira